Mamlaka nchini Ukraine zinasema Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya droni na makombora nchini humo na kusababisha vifo vya ...
Aprili 15 inatimia miaka mitatu tangu mapigano yalipoanza nchini Sudan kati ya jeshi na vikosi vyenye hadhi ya kijeshi vya ...
Leo Aprili 15, ni miaka mitatu kamili, tangu kuanza kwa vita nchini Sudan kati ya jeshi na wanamgambo wa RSF, vita ambavyo ...
Wizara ya ulinzi ya Somalia imesema operesheni hiyo kubwa iliendeshwa kweye maeneo ya Lower Jubba na Jubba ya Kati, ambako ...
"Siku ya kwanza, niliuliza 'kwa nini hakuna wanawake tena?'," anasema Hind Kabawat. Yeye ni waziri wa masuala ya kijamii na kazi wa Syria , waziri pekee mwanamke katika serikali ya mpito aliyepewa ...
Mamlaka za uchaguzi nchini Hungary zinasema chama cha upinzani kilichopata umaarufu haraka cha Tisza kina uhakika wa kushinda ...
Kulingana na RFI, mfululizo wa mikutano umepangwa nchini Qatar kuanzia Aprili 13 hadi 17, mradi vikwazo kadhaa vitaondolewa.
Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha mara moja, madhara ya kiuchumi yataendelea.